Numbers 14:3-4

3 aKwa nini Bwana anatuleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watachukuliwa kama nyara. Je, isingekuwa bora kwetu kurudi Misri?” 4 bWakasemezana wao kwa wao, “Inatupasa kumchagua kiongozi na kurudi Misri.”

Copyright information for SwhKC